BAO LA KICHWA LA BEKI RAFAEL MARQUEZ LAIWEZESHA MEXICO KUWEKA HISTORIA YA USHINDI KWA MAREKANI

BEKI tano veteran, Rafael Marquez alifunga kwa kichwa katika dakika ya 89 na kuiwezesha Mexico kushinda 2-1, ushindi wao wa kwanza kabisa kihistoria dhidi ya Marekani katika kuwania kufuzu Kombe la Dunia juzi.

No comments