BARCELONA KUIKATIA RUFAA KADI YA NJANO YA LIONEL MESSI

BARCELONA imesema itaikatia rufaa kadi ya njano aliyoonyeshwa Lionel Messi katika mechi waliyoshinda 2-1 dhidi ya Sevilla Jumapili.


Refa Jaime Latre alimwonyesha njano straika huyo kwa kupoteza muda kwa kushindwa kuvaa kiatu haraka kufuatia kufanyiwa faulo hadi kiatu kuvuka.

No comments