BARCELONA YAPANIA KUMNG'OA PHILIPPE COUNTINHO LIVERPOOL

BARCELONA imempania kumsajili kiungo wa Liverpool Philippe Countinho kwa mujibu wa gazeti la Hispania la SPORT.

Kiungo huyo anaelewana na Neymar ambaye wanachezea pamoja kikosi cha Brazil.

Coutinho anaaminika ataongeza nguvu katika kikosi cha Barcelona kinachonolewa na Luis Enrique.

Barcelona katika miaka ya karibuni imekuwa na tabia ya kupora wachezaji wa Liverpool.


Ilimsajili Luis Suarez mwaka 2014 wakati Liverpool ikitamba chini ya Brendan Rodgers.

No comments