BARCELONA YASHANGAA JAJI KUFUNGUA UPYA KESI YA UHAMISHO WA NEYMAR

KLABU ya Barcelona imeshangazwa na kitendo cha jaji kufungua upya kesi ya uhamisho wa Neymar kutoka Santos kutua Nou Camp. 

No comments