BEKI MAJERUHI JEREMY MATHIEU WA BARCELONA WIKI TATU NJE YA UWANJA

BEKI wa Barcelona Jeremy Mathieu atalazimika kukaa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki tatu


Nyota huyo atalazimika kukaa jukwaani baada ya kuumia katika mchezo dhidi ya Espanyol.

No comments