BEKI MARLON WA BARCELONA ACHELEWA NDEGE

BEKI wa Barcelona, Marlon alichelewa ndege kuelekea England kwa ajili ya mechi ya Ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester City, mechi iliyotarajiwa kuchezwa jana.

No comments