BORUSSIA DORTMUND imeilaza Bayern Munich 1-0 katika mchezo mkali wa Bundesliga.

Bao hilo pekee la Dortmund lilifungwa na nyota wa kimataifa wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 11 baada ya kazi nzuri ya Mario Gotze.
Pierre-Emerick Aubameyang wrong-foots goalkeeper Manuel Neuer to give Borussia Dortmund the lead after 11 minutes

Pierre-Emerick Aubameyang akimtungua kipa Manuel Neuer na kuipa bao pekee Borussia Dortmund 
The Gabon striker celebrates his 15th goal of the season by doing press ups in front of an ecstatic Westfalenstadion crowd
Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia kwa staili ya aina yake
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac