BRENDAN RODGERS ATOA RUKSA KWA WACHEZAJI WAKE NYOTA KUSEPA

KOCHA wa Celtec ya Scotland, Brendan Rodgers amesema ni ruksa kwa wachezaji wake nyota kuondoka kama itakuja pesa sahihi.


Moussa Dembele na Kieran Tietrney wanahusishwa na Man United na Arsenal.

No comments