BUSU la shavu kutoka kwa mwigizaji nyota wa Hollywood Julia Roberts limempagawisha kiungo wa Manchester United Paul Pogba ambaye ameposti picha yake na mwanamama huyo kwenye Instagram akiandaka na ujumbe "leo nimekutana na mwigizaji pekee wa ukweli na manamke poa kabisa na ni mwenye bahati sasa."
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac