CONTE AWAZODOA WANAODAI ATAWAPIGA BEI FABREGAS, OSCAR

KOCHA wa Chelsea Antonio Conte amewashushua wanaodai kuwa atawapiga bei mastaa Cesc Fabregas na Oscar akisema hajawahi kufikiria kuhusu hilo.


Wawili hao wameshindwa kupata namba kwenye kikosi cha Muitaliano huyo lakini amesisitiza kuwa bado anawahitaji.

No comments