CRISTIANO RONALDO AMUIGA MWIGIZAJI WA FILAMU YA "HOME ALONE"

KWA ajili ya tangazo la biashara ya kampuni ya simu nchini Ureno, ambayo inadhamini klabu ya FC Porto, Cristiano Ronaldo ameiga kila yaliyofanywa na mwigizaji Macaulay Culkin katika filamu ya “Home Alone”.

No comments