CRISTIANO RONALDO ASEMA ANATAKA KUKIPIGA REAL MADRID HADI MIAKA 10 IJAYO

LICHA ya kusaini mkataba wa miaka mitano utakaomweka Real Madrid hadi mwaka 2021, Cristiano Ronaldo, 31, amesema huo si mkataba wake wa mwisho kwasababu anataka kucheza soka hadi akiwa na miaka 41, huku akibainisha lengo lake la sasa kuwa ni kufikisha mabao 500 Madrid ambapo amebakisha 129.

No comments