Habari

DANIEL STURRIDGE MBIONI KUIMWAGA LIVERPOOL BAADA YA KUCHOSHWA NA BENCHI

on

STAA Daniel Sturridge
anasemekana kuwa yuko tayari kuitema klabu yake ya Liverpool kwa kile
kinachodaiwa ni kukerwa na kuwekwa benchi.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily
Mirror, straika huyo wa timu ya taifa ya England hana raha kwenye klabu hiyo ya
Anfield na huenda akaondoka kwenye klabu hiyo ya Merseyside wakati wa usajili
wa majira ya baridi yajayo.

Kutokana na hali hiyo, klabu
mbalimbali zimeshaanza kupiga jaramba baada ya kubaini kuwa Sturridge hayuko
katika mipango ya kocha wake Jurgen Klopp.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *