KIUNGO Yaya Toure alilazimika kupunguza kilo nane ili aweze kufiti kwenye mfumo wa kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, kwa mujibu wa vyombo vya habari.

Toure alifunga mara mbili katika mechi ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace Jumamosi iliyopita.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac