FC BARCELONA MBIONI KUMSAJILI BEKI GLEN JOHNSON WA STOKE

MABINGWA wa La Liga, Barcelona wametua Ligi Kuu England na sasa wanataka kusajili beki wa Stoke, Glen Johnson.


Barca wanampigia hesabu beki huyo wa kulia wakitaraia kuwa watalipa kiduchu kukamilisha uhamisho wake.

No comments