GARETH BALE ADAI TUZO YA BALLON D'OR INAMSTAHILI CRISTIANO RONALDO

GARETH Bale amedai kuwa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka FIFA “Ballon d’Or” inastahili kwenda kwa mshambuliaji mwenzake Real Madrid, Cristiano Ronaldo na si kinyume chake.

No comments