GARETH BALE ametoka kuwa nyota wa Premier League hadi kuwa staa wa kidunia tangu alipoanza kucheza kando ya Cristiano Ronaldo ndani ya Real Madrid, lakini pamoja na yote hayo, winga huyo wa kimataifa wa Wales ameibuka na hoja iliyowashangaza wengi.

Ungeweza kudhani kuwa Bale angemtaka Ronaldo bila kusita pale atakapoulizwa ni mchezaji gani ndiye bora zaidi kati ya wanasoka aliowahi kucheza nao timu moja. Thubutu!!!

Bale na Ronaldo wameshinda pamoja taji la Champions League mara mbili ndani ya misimu mitatu waliocheza pamoja, lakini winga huyo anamtaja Ryan Giggs  aliyekipiga nae timu ya taifa ya Wales kama mchezaji bora zaidi kuwahi kucheza nae.

Gareth Bale (right) has been asked to name the greatest player he has ever played alongside

Gareth Bale (kulia) ameulizwa na mchezaji gani ndiye bora zaidi kati ya mastaa aliowahi kucheza nao
Bale picked Ryan Giggs, who he played with during his early days in the Wales team
Bale akamtaja Ryan Giggs aliyecheza naye timu ya taifa ya Wales NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac