GARY NEVILLE AWASIHI MANCHESTER UNITED "KUMVUMILIA" JOSE MORINHO

GARY Neville amewasihi Manchester United “wakomae tu na Jose Mourinho” ili kuirejesha timu katika mstari badala ya kufikiria kumtimua.

No comments