GIGGS ANUKIA BENCHI LA UFUNDI WIGAN

TAARIFA zilizopo ni kwamba mkongwe wa Manchester United, Ryan Giggs ananukia kwenye benchi la ufundi la Wigan.


Giggs anatajwa kuwa ndie atakayechukua mikoba ya Gary Cardwell aliyetimuliwa hivi karibuni.

No comments