GUARDIOLA APOTEZEA TUHUMA ZA MIKEL ARTETA KUKWAANA KAULI NA LIONEL MESSI

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amepuuza tuhuma kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo Mikel Arteta alirushiana vijembe na mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi baada ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambayo Man City walishinda mabao 3-1.

No comments