HECTOR BELERIN MBIONI KUONGEZA MKATABA ARSENAL

WAKALA wa mchezaji Hector Belerin amesema mazungumzo yamefanyika na huenda mchezaji huyo raia wa Hispania akaongeza mkataba na kikosi cha Arsenal baada ya kujenga imani kwa kocha Arsene Wenger.

No comments