HATIMAYE Hector Bellerin ameipa faraja Arsenal baada ya kusaini mkataba mpya utakaomweka klabuni hapo hadi mwaka 2023.

Bellerin anayechukuliwa kama mmoja wa mabeki bora kabisa wa kulia barani Ulaya, alikuwa akisakwa kwa udi na uvumba na Barcelona na Manchester City.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 21 sasa atakuwa akilipwa kitita cha pauni 100,000 kwa wiki.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac