IAN WRIGHT APONDA USHINDI WA ENGLAND DHIDI YA SCOTLAND... asema umetokana na Scotland kushindwa kutumia nafasi za wazi

STRAIKA wa zamani wa Arsenal, Ian Wright ameponda ushindi wa timu ya taifa ya England wa mabao 3-0 dhidi ya mahasimu wao Scotland akisema timu ilicheza kwa kiwango kibovu na ushindi ulitokana na kikosi cha kocha Gordan Strachan kupitia kwa wachezaji wake kushindwa kutumia nafasi za wazi walizopata.

No comments