ANDRES Iniesta amepona goti aliloumia Oktoba na ameanza mazoezi mepesi na kikosi “A” cha Barcelona na hivyo kuleta matumaini ya kucheza mechi ya Clasco dhidi ya Real Madrid Jumamosi ijayo Desemba 3. Samuel Umtiti pia anatarajia kuwa tayari kwa mechi hiyo.
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac