INTER MILAN WAMSARANDIA WAYNE ROONEY

IMERIPOTIWA kuwa wakali wa serie A, Inter Milan wana mpango wa kumsajili staa Wayne Rooney.


Nahodha huyo amekuwa kwenye wakati mgumu katika klabu yake ya Manchester United, hasa baada ya kupoteza namba kwenye kikosi hicho.  

No comments