INTER MILAN WAMWANDALIA KOCHA DIEGO SIMEONE PAUNI MIL 50 ILI KUMNG'OA ATLETICO MADRID

TAARIFA zilizopo ni kwamba wakali wa serie A, Inter Milan wamepanga kutumia pauni mil 50 kuhakikisha wanamnasa kocha Diego Simeone.


Mkataba wa kocha huyo na Atletico Madrid unafikia tamati mwishoni mwa mwaka 2018.

No comments