VINARA wa Ligi ya Serie A, Inter Milan wameanza kuwafukuzia nyota wanne wa Manchester United, Chris Smalling, Memphis Depay, Daley Blind na Matteo Darmian, ili kuona kama itaweza kuwanasa wakati dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa mapema Januari.


Kwa mujibu wa gazeti la Corriere dello Sport, timu ya Inter Milan iko karibu na kocha Jose Mourinho baada ya kupata mafanikio na klabu hiyo ya San Siro kuanzia mwaka 2008 – 2010 na mbali na hilo pia Mourinho anasemekana kuwa karibu na makamu wa rais Javier Zanett, mkurugenzi wa michezo Piero Ard na kocha mpya Stefano Pioli.
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac