INTER MILAN YAJIPANGA KUINASA SAINI YA MSHAMBULIAJI OSCAR WA CHELSEA

TAARIFA zilizopo ni kwamba klabu ya Inter Milan inajipanga kuhakikisha inamnasa kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Oscar.


Mbrazil Oscar amekuwa kwenye wakati mgumu pale Blues, hasa baada ya kukosa namba mbele ya Nemanja Matic, N’Golo Kante, Pedro na Willian.

No comments