ISCO ATISHIA UWEPO WA KARIM BENZEMA KWENYE KIKOSI CHA KWANZA CHA REALL MADRID

REAL Madrid inaweza kumuondoa katika kikosi cha kwanza mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka Ufaransa Karim Benzema badala yake ikaamua kumtimua Isco aliyecheza vizuri nyuma ya Cristiano Ronaldo kwenye mechi ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Atletico Madrid zaidi ya wiki moja iliyopita.

No comments