JAMIE CARRAGHER ASEMA JUAN MATA ANASTAHILI HESHIMA YA KIUNGO BORA MCHEZESHAJI


JAMIE Carragher amesema anaamini kuwa Juan Mata wa Manchester United anastahili heshima kama kiungo bora mchezeshaji Ligi Kuu England.

No comments