JESSE LINGARD AJIANDAA KUDONDOKA WINO MPYA MANCHESTER UNITED

WINGA chipukizi wa Manchester United na England, Jesse Lingard mwenye miaka 23, anajiandaa kusaini mkataba mpya wa kuitumikia klabu hiyo.


Kinda huyo anayekunja mshahara wa pauni 30,000 kwa wiki, anatarajia kulipwa mara mbili ya kiwango hicho katika mkataba wake huo mpya.

No comments