JIMMY MASTER AKIRI FILAMU YA "FOUNDATION" ILIMHENYESHA

NYOTA wa filamu za “action” Jimmy Mponda “Jimmy Master” amesem Foundaction ni miongoni mwa filamu zilizomwenyesha kwa muda mrefu kutokana na kutumia gharama kubwa.

“Ninashukuru kwani hatimaye sasa filamu itainga sokoni wakati wowote wiki hii, lakini ukweli ni kwamba imetuhenyesha sana ndiyo maana tuliahirisha kuingiza sokoni kwa kuepuka kulipua kazi na kujikuta tukikosa soko," alisema.


Mkulugenzi huyo wa Mzimuni Arts Group, aliwaomba wadau wa filamu wawawie radhi kwa uchelewaji wa filamu hiyo akisema lengo lilikuwa ni kuandaa kitu ambacho kinaleta ushindani sokoni. .

No comments