JOSE MOURINHO ALIMFANYA FABINHO KUKATAA OFA YA KWENDA KUJIUNGA NA REAL MADRID WAKATI AKIWA CHIPUKIZI!

FABINHO alidai kuwa alikataa ofa ya kwenda kujiunga na klabu ya Real Madrid ya Hispania wakati akiwa chipukizi.

Kocha Jose Mourinho alimpa namba kwenye kikosi cha kwanza mchezaji huyo akiwa na miaka 19 mwaka 2013.


Bado Blancos wanamtaka nyota huyo ili aende kucheza La Liga na kuachana na Monaco.

No comments