JOSE MOURINHO AMTENGEA VICTOR LINDELOF WA URENO PAUNI MIL 26

KOCHA wa Manchester United Jose Mourinho inasemekana ametenga pauni mil 26 ili kumnyakua mlinzi wa Benfica ya Ureno Victor Lindelof.


Mchezaji huyo chipukizi wa Sweden ndio kwanza ametimiza miaka 22 lakini mameonyesha uwezo mkubwa na kuzifanya timu kadhaa kumbariki.

No comments