JOSE MOURINHO BADO ANA IMANI NA ZLATAN IBRAHIMOVIC LICHA YA K,UONYESHA KIWANGO KIBOVU

ZLATAN Ibrahimovic amefunga bao moja tu katika mechi 11 zilizopita, huku Manchester United ikiwa nyuma pointi saba kupanda “Top 4”.


Hata hivyo, ubutu huo wa kupachika mabao kwa nyota huyo wa zamani wa Paris Saint-Germain AC Milan na Inter, haujamshitua kocha wake Jose Mourinho.

No comments