JOSE MOURINHO KUWAPIGA BEI MASTAA WANANE MANCHESTER UNITED KWA HASIRA

NI kama vile mambo yanakwenda kuwa magumu kwa kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ambaye sasa amedhamiria kuwapiga bei wachezaji wanane wa kikosi chake baada ya kutoridhika na viwango vyao.


Juzi aliwalaumu wachezaji wake kuonyresha kiwango kibovu na kupoteza mechi ya Ligi ya Europa dhidi ya Fenerbahce walioshinda mabao 2-1.

No comments