JUAN MATA ASEMA HAKUWA NA WASIWASI NA KIBARUA CHAKE ALIPOSIKIA UJIO WA MOURINHO OLD TRAFFORD

KIUNGO wa Manchester United, Juan Mata amedai kuwa hakuwa na shaka na ajira yake baada ya kusikia kocha Jose Mourinho anakuja kufundisha uwanja wa Old Trafford.

No comments