JUVENTUS WAPIGANIA SAINI YA KIUNGO JULIAN DRAXLER

BINGWA wa Ligi Kuu Italia seria A, Juventus wanaitaka saini ya kiungo hatari Julian Draxler.


Nyota huyo wa Wolfsburg ameonyesha kuchoka mazingira ya Ujerumani na hivi karibuni alitamka wazi kuwa yuko tayari kusikiliza ofa mbalimbali.

No comments