JUVENTUS YAWASUTA WALIOSEMA PAULO DYBALA ATAWAACHA KWENYE MATAA

UONGOZI wa klabu ya Juventus umewajia juu wale waliokuwa wakisema kuwa staa wao, Paulo Dybala ataondoka klabuni hapo na kujiunga na timu nyingine.


Kauli hiyo imekuja huku kukiwa na taarifa kuwa Dybala anakaribia kusaini mkataba mpya licha ya saini yake kuwaniwa na klabu kadhaa za England, La Liga na hata Bundesliga.

No comments