KIUNGO JAN VERTONGHEN KUDONDOKA SAINI MPYA TOTTENHAM

KIUNGO wa kimataifa wa Uholanzi anayetamba na Tottenham, Jan Vertonghen anatarajiwa kusaini mkataba mpya klabuni hapo.


Mbali na nahodha huyo wa zamani wa Ajax, wachezaji wengine wa Spurs ambao hawajasaini mikataba mipya ni Hugo Lloris na Harry Kane.

No comments