KIUNGO JAVIER PASTORE WA ARGENTINA MBIONI KUTUA STANFORD BRIDGE

MIKAKATI inafanyika kuhakikisha kiungo mchezeshaji kutoka Argentina, Javier Pastore anatua Stanford Bridge katika usajili wa Januari mwakani.


Pastore mwenye miaka 27, ambaye inasemekana hana furaha katika kikosi cha sasa cha Paris Saint-Germain, ni kama anaandaliwa kwenda kuchukua nafasi ya mtu Darajani.  

No comments