KIUNGO STEVEN N'ZONZI WA STOKE KUTUA LEICESTER CITY

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England, Leicester City, wamepania kumsajili kiungo wa zamani wa Stoke, Steven N’Zonzi.


Mpango huu unakuja ikiwa ni bada ya kuripotiwa kuwa nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 anataka kuongeza mkataba wa klabu yake ya Sevilla.

No comments