KIUNGO wa zamani wa Jamhuri ya Ireland, Eamon Dunphy amemchana nyota wa Manchester United, Paul Pogba kuwa hajui kuusoma mchezo ndio maana hakujua kwamba ni yeye aliyepaswa kwenda kumsaidia Marcus Rashford aliyeshindwa kuzuia krosi ya Alex Oxlade-Chamberlain iliyozaa bao la kusawazisha la Arsenal.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac