KOCHA MANCINI BADO ANAAMINI BALOTELLI ATAREJEA KWENYE UBORA WAKE

KOCHA mkongwe Roberto Mancini anaamini  mtukutu Mario Balotelli anaweza kurejea kwenye ubora wake licha ya muda alioupoteza.

Mancini amedai kuwa staa huyo ana nafasi kubwa ya kurejea kwenye kikosi cha kwanza cha timu ya taifa ya Italia.


Itakumbukwa kuwa,Balotelli alianza kucheza mara ya kwanza katika kikosi cha Inter Milan wakati Mancini alipokuwa kocha wa timu hiyo mwaka 2007.

No comments