KOCHA REDKNAPP ASEMA SUAREZ, HAZARD WANGEIPANDISHA TOTTENHAM KAMA ISINGESHINDWA KUWASAJILI

KOCHA Harry Redknapp amesema Tottenham ilikaribia kumsajili Luis Suarez na Eden Hazard wakati akifundisha timu hiyo na anaamini kwamba wakali hao wangeifanya iwe klabu kubwa duniani.

No comments