KOCHA WA SHANGHAI SIPG AKANUSHA AKANUSHA TAARIFA ZA TIMU YAKE KUMWANIA ROONEY

KOCHA wa Shanghai SIPG, Sven-Goran Eriksson amesema hakuna uwezekano wowote wa mshambuliaji na nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney, 31, kwenda kukipiga China kama baadhi ya taarifa zinavyodai.

No comments