KOCHA WA TIMU YA TAIFA BRAZIL ATHIBITISHA KESI YA NEYMAR INAATHIRI KIWANGO CHAKE DIMBANI

NEYMAR hawezi kuyaacha nje ya uwanja masaibu yanayomwandama ya kesi zinazohusu uhamisho wake wa kutua Barcelona na hilo linaathiri kiwango chake, kwa mujibu wa kocha wa timu ya taifa ya Brazil.

No comments