KOCHA WA TIMU YA TAIFA UFARANSA KUMVUTA KARIM BENZEMA KIKOSINI


KOCHA wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema atamwita kwenye kikosi hicho mshambuliaji Karim Benzema iwapo tu mchezaji huyo ataonyesha mapenzi ya kucheza timu ya taifa.

No comments