KOLO TOURE AMTAKA MDOGO WAKE YAYA TOURE KUSEPA MAN CITY NA KUTUA MARSEILLE ILI KUOKOA KIPAJI ALICHONACHO

KAKA wa kiungo Yaya Toure, Kolo Toure amemtaka ndugu yake huyo kuondoka Manchester City na kutua Marseille ili kulinda kipaji chake.


Yaya ameshindwa kujihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza pale Etihad baada ya vita ya maneno kati ya wakala wake, Dimitri Seluk na kocha Pep Guardiola.

No comments