KUONGEZEKA KIWANGO KWA COSTA KWAMFANYA CONTE KUTOMJUTIA ROMELU LUKAKU


KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte amedai kuwa hajuti hata kidogo baada ya kushindwa kumsajili mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku, baada ya kiwango cha Diego Costa kuongezeka.

No comments